Medard Matogolo Kalemani (amezaliwa 15 Machi 1968) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa Mbunge wa Chato kuanzia mwaka 2015 hadi 2020. [1]
Medard Matogolo Kalemani alizaliwa wapi?
Ground Truth Answers: tanzaniatanzania
Prediction: